Shivo Education and Youth Centre
Home
Roles
Operational Statement
Corporate Status
Contact Us
Wednesday, March 11, 2015
MECHI ZA KIRAFIKI
Shivo United SC vs Moyo FC 07 March 2015
Kikosi cha Shivo United katika picha ya pamoja kabla ya mechi dhidi ya timu ya Moyo fc katika uwanja wa Beira maeneo ya Kigogo.
Picha chini kocha wa Shivo United akitoa maelekezo kwa vijana wake wakati wa mapumziko.
Matokeo katika mchezo huo yalikuwa Shivo United 2 - 2 Moyo fc
Share This